Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

Judith Kapinga (Mbunge CCM): Kosa la Uhujumu Uchumi limerahisishwa sana nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha kuwashinikiza kukubali makosa

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana.

Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa.

Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, Sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana.

Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa
[emoji120][emoji3581]
 
Nyota njema uonekana asubuhi, huyu dada anajenga hoja vizuri sana.
 
Magofool ameshakufa rekebisheni sheria haraka sana.

MANJI ALIISOMA NAMBA KWA KUTUMIA HII SHERIA. KITLYA NA SIOYI SUMARI MKWE WA LOWASA NAYE WALIISOMA NAMBA KIKWERIKWERI!
 
JInga kabisa siku wanapitisha si alikuwepo leo analalamika nini?
Una hakika alikuwepo wakati sheria inatungwa? Na hata Kama alikuwepo ukigugundua mapungufu nadhani kuchukua uamuzi wa kujisahihisha ni bora zaidi. Heko kwa dada.
 
Kwa Tanzania sasa ukikamatwa na kosa la kutokutoa au kutopokea risiti ya EFD Machine wewe unaweza kutupwa ndani kwa kosa la kuhujumu uchumi...
 
Wengi wa raia tunashindwa kujinasua kwenye mambo haya kutokana na mfumo uliopo na kwa kuto kuelewa mwangozo wa sheria husika
 
Una hakika alikuwepo wakati sheria inatungwa? Na hata Kama alikuwepo ukigugundua mapungufu nadhani kuchukua uamuzi wa kujisahihisha ni bora zaidi. Heko kwa dada.
Akina Mbowe waliongea sn lakini walipuuzwa na hao wapumbavu, Jiwe angekuwa hai unadhani angeongea?
 
Magofool ameshakufa rekebisheni sheria haraka sana.

MANJI ALIISOMA NAMBA KWA KUTUMIA HII SHERIA. KITLYA NA SIOYI SUMARI MKWE WA LOWASA NAYE WALIISOMA NAMBA KIKWERIKWERI!
Acha kabisa kati ya watu waliopata shida kwenye utawala wa Meko Mzee Kitilya ailiteseka sana na mwisho wa siku wakamlazimisha kulipa hela nyingi sana kiko wapi? Mwenzake bado kawaacha wakiendelea na life. Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Back
Top Bottom