Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
[emoji120][emoji3581]Tulipata mapokeo ya Sheria ya uhujumu uchumi bila kuangalia mazingira yetu, Sasa inatumika kupora wala mali na Uhuru wao kwa kuondoa dhamana.
Kosa la uhujumu uchumi limerahisishwa sana na nchini ili kuwezesha kuumiza watu kisha tunawashinikiza kukubali makosa
Ulikuwa utawala wa hovyo kabisa kuwahi kutokeaKwa kweli dhalim amewakosea sana Watanzania.
Una hakika alikuwepo wakati sheria inatungwa? Na hata Kama alikuwepo ukigugundua mapungufu nadhani kuchukua uamuzi wa kujisahihisha ni bora zaidi. Heko kwa dada.JInga kabisa siku wanapitisha si alikuwepo leo analalamika nini?
Hatari sana!!hadi rushwa ya ngono nayo ikaingizwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi!!!Pombe ametumia hii sheria kuumiza wapinzani wake na wote asiowapenda.
Akina Mbowe waliongea sn lakini walipuuzwa na hao wapumbavu, Jiwe angekuwa hai unadhani angeongea?Una hakika alikuwepo wakati sheria inatungwa? Na hata Kama alikuwepo ukigugundua mapungufu nadhani kuchukua uamuzi wa kujisahihisha ni bora zaidi. Heko kwa dada.
Acha kabisa kati ya watu waliopata shida kwenye utawala wa Meko Mzee Kitilya ailiteseka sana na mwisho wa siku wakamlazimisha kulipa hela nyingi sana kiko wapi? Mwenzake bado kawaacha wakiendelea na life. Mwacheni Mungu aitwe MunguMagofool ameshakufa rekebisheni sheria haraka sana.
MANJI ALIISOMA NAMBA KWA KUTUMIA HII SHERIA. KITLYA NA SIOYI SUMARI MKWE WA LOWASA NAYE WALIISOMA NAMBA KIKWERIKWERI!
Mbunge 'Njuka' huyu kaja wa moto, pia ni Wakili na msomi mzuri tu.JInga kabisa siku wanapitisha si alikuwepo leo analalamika nini?