Judith Wambura (Lady Jay Dee).

Judith Wambura (Lady Jay Dee).

Nilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima
Kwanza ana sauti nzuri
Ana uandishi mzuri
Anaweza kuimba aina nyingi sana za muziki
Kwa kweli huyu kwangu ni msanii bora wa kike barani Afrika


Sent using Jamii Forums mobile app
Umegundua Leo kipaji cha jide?
 
Back
Top Bottom