Juhudi binafsi katika elimu...changia

Juhudi binafsi katika elimu...changia

mchambuzixx

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
1,292
Reaction score
946
binafsi pamoja na matatizo ya serikali yetu kuwa makubwa hasa katika sekta ya elimu maana kuyaondoa tumeshindwa ...tunapiga kelele mwisho wa siku serikali ile ile isyo na dira katika elimu inachaguliwa hili ni pigo kwa taifa huu utawala unatakiwa utolewe tu hakuna kingine hapa tuweke watu wengine tuone watakuja na sera gani nao wakituzingua tunapiga chini weka wengine wakizingua tupa kule rudisha wale wale watakua wamejifunza baada ya miaka 20 hapo ndio hii nchi itatoka bila hio kitu tutapiga kelele kila siku................sasa tufanyeje kama hali ndio hii mana lazima uishi kutokana na mazingira uliyopo serikali hii ipo mpaka 2015 ni miaka miwili toka sasa na inaweza kuendelea kwa mabavu

nirudi kwenye mada....

ninachokiona hapa hiki kizazi cha sasa dot-com generation kinatengeneza bom kubwa la baadae sio mafighter kama sisi tuliosoma oleval miaka ya 97 na i leval lazima ujitambue wewe binafsi je wazazi wana uwezo wa kukuendeleza kimasomo endapo utaangukia pua? hasa hawa wanaosoma mijini mana kuna kila kitu

mimi binafsi nilisoma o leval AZANIA-science 1997-2000 na nilikua na ndugu zangu na washkaji wanasoma private za ukweli kama shaban robert mzizima na nyinginezo nyingi ikiwemo vipaji maalum kwa ukweli katika miaka 4 ya oleval darasani niliingia kama miaka 3 mwaka mmoja uliishia tution na tuition nilisoma PCM..nilikua nachukua notes huku na huko na masomo mengine wakati wa likizo..mwisho wa siku niliondoka na div 1 ya 9..ikiwa ina CIV A GEOG A HIST A ENG B KISW A PHYSCIS B CHEM C MATH A BIOLOGY D

nilichaguliwa kwenda TAMBAZA 2001-2003 PCM na niliondoka na div 1 point 5 kabla ya kuCHAGULIWA UDSM-COET telecommunication engineering

ushuhuda wa hapo ni kuwekana sawa kwamba wewe umeshajua kua shule haina walimu au ina walimu lakini hawafundishi vizur kama TAMBAZA kama ushatambua hilo ni wewe kuongeza juhudi katika plan B

simwonei huruma mwanafunzi anayepata div 4 au 0 oleval huyu alikua anacheza shuleni yaan katika masomo 9 au 10 unashindwa kupata C kama 4 kweli tuwe wakweli jamani tena mwanafunzi unaishi mjini bora hata uwe kujijini una cha kusingizi I LEVAL ni mziki mwingine hapa pagumu hata chuo kuna afadhali mana chuo kila wend club mwisho wa siku ukifanya timing ya pepa unatoka na first class au upper second form six ni hatari

cha kumalizia hapo ni kua hata wanafunzi wenyewe ni bogus wewe masomo 9 hata C moja huna si aibu hio ndio serikali ina matatizo wewe umefanya juhudi gani ? tujiangalie jamani
 
Back
Top Bottom