Juhudi za makusudi zinatakiwa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi

Juhudi za makusudi zinatakiwa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua kiuchumi.

Aidha mambo haya yanapaswa kuzingatiwa kwa wanwake

1. Kutambua umuhimu wa Elimu
2. Kufanya kazi kwa bidii
3. Kuacha dhana potofu kuwa wao hawapaswi kujishughulisha kiuchumi
 
Back
Top Bottom