Utafiti inaonesha wanawake wa Tanzania Ni duni kuliko wanaume. Juhudi za makusudi zinatakiwa kufanywa ili kuwakomboa wanawake kiuchumi. Ikiwa Ni pamoja na wao wenye kuamka na kuanza kujiinua kiuchumi.
Aidha mambo haya yanapaswa kuzingatiwa kwa wanwake
1. Kutambua umuhimu wa Elimu
2. Kufanya kazi kwa bidii
3. Kuacha dhana potofu kuwa wao hawapaswi kujishughulisha kiuchumi