GE2025 Juhudi za mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa na Rais Samia sasa zinawanufaisha wananchi walio jirani na mgodi wa STANGOLD Biharamulo

GE2025 Juhudi za mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa na Rais Samia sasa zinawanufaisha wananchi walio jirani na mgodi wa STANGOLD Biharamulo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
MRADI WA KUPELEKA UMEME MGODINI STANGOLD.

Mh mbunge wa jimbo la biharamulo Eng Ezra Chilewesa wakati wa kampeni aliarifiwa kuwa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD wana tatizo kubwa la uhaba nishati na baada ya kuchaguliwa alifika mgodini hapo na kuona uhalisia .

Mgodi huo ulikuwa ukitumia bilioni moja kwa mwezi kwa manunuzi ya mafuta kama nishati ya katika shugli za kuendesha mitambo ya kuchimbia madini na shugli nyingine kikubwa kilichofanya mh mbunge kama mwakilishi wa jimbo aliwasilisha hoja nzito bungeni na hoja ikajadiliwa

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa:
Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Baada ya hoja serkal ya mh rais Samia suluhu Hasan ilimjibu kwa vitendo na kutoa kiasi cha bilioni 150 ili kutoa umeme geita hadi mgodini ili kuhakikisha uwekezaji unakuwa nafuu na wenye tija.

Mh Raisi Samia alihakikisha hoja ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa inafanyiwa kazi na sasa mradi huu unatumia umeme na kulipa kiasi cha milioni mia tatu tu badala ya bilioni moja ya awali na kuokoa milioni mia saba kila mwezi .

Mgodi huu ni chachu ya maendeleo ya wilaya ya biharamulo na hutoa gawio kwa halmashauri ya wilaya na kusadia shugli

Kwa sasa mgodi wa dhahabu wa STANGOLD unatoa SCR Katika vijiji vya jirani hasa kujenga shule na zahanati

USSR
FB_IMG_1752603661780.jpg
za maens
 
Back
Top Bottom