deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 521
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata akija serikali inogopa mini, wakt huyu jamaa MIGUMA hana hata jeshi,silaha nzito, lakini serikali ina kila vyombo vya ulinzi na usalama. Viongozi wa kiafrika baadhi yao ni waoga na hawajiamini sijui kwannHapana Tony254, katika hili tupo nyuma sana Africa. Tabia ya serikali za nchi za Africa kupuuza amri za MAHAKAMA zetu tulizojiwekea sisi wenyewe ni kitendo kinachotudhalilisha sana sisi waafrika.
Kwa miaka miwili sasa tangu MAHAKAMA ilipitoa hukumu ya kwamba arudishiwe Passport yake ya Kenya, serikali haijafanya lolote na bado inazidi kumsumbua, hii ni aibu sana na kwakweli inatia hasira sana. Ndio sababu Mimi ninamuunga mkono 100% yule mkulima wa kizungu anayekamata ndege za Tanzania, hizi Serikali za Afrika ni hovyo sana "sometimes".
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule Mkulima anaekamata Ndege za Tanzania amelipwa tayari..Hapana Tony254, katika hili tupo nyuma sana Africa. Tabia ya serikali za nchi za Africa kupuuza amri za MAHAKAMA zetu tulizojiwekea sisi wenyewe ni kitendo kinachotudhalilisha sana sisi waafrika.