Juhudi za Miguna Miguna kurejea Kenya zakwama, azuiwa Berlin

Kwani hata akija serikali inogopa mini, wakt huyu jamaa MIGUMA hana hata jeshi,silaha nzito, lakini serikali ina kila vyombo vya ulinzi na usalama. Viongozi wa kiafrika baadhi yao ni waoga na hawajiamini sijui kwann
 
Ni kosa lisilorekebishika, fatal mistake, kutema uraia wa nchi ambayo ndio ungependa kufia na kuifia.
 
Yule Mkulima anaekamata Ndege za Tanzania amelipwa tayari..
Magufuli ameufyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…