samir nassir
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,119
- 1,475
Wanakuja pmaise mwakipande kanisaidia sana kama sio yeye ungekuta niko kijijin huko bulongwa nakunywa ulanzi, biashara zangu zinaenda vizur kwa ajili yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakuja pmaise mwakipande kanisaidia sana kama sio yeye ungekuta niko kijijin huko bulongwa nakunywa ulanzi, biashara zangu zinaenda vizur kwa ajili yake
Nije pm?aise mwakipande kanisaidia sana kama sio yeye ungekuta niko kijijin huko bulongwa nakunywa ulanzi, biashara zangu zinaenda vizur kwa ajili yake
Nije pm.Njoo Pm
Nipo tayari Vp unapatkana wapsema nikupeleke Makete kwa mzee Mwakipande, Ndani ya mwaka unaogelea kwenye kisima cha utajiri
Hahhahaa hv hajafa tu yule mganga?😂😂sema nikupeleke Makete kwa mzee Mwakipande, Ndani ya mwaka unaogelea kwenye kisima cha utajiri
aise mwakipande kanisaidia sana kama sio yeye ungekuta niko kijijin huko bulongwa nakunywa ulanzi, biashara zangu zinaenda vizur kwa ajili yake