Juice ilonisaidia kukausha kidney stone

Juice ilonisaidia kukausha kidney stone

sriyamy

New Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
1
Reaction score
7
Habari wa pendwa jina langu ramla nina miaka 34 mkaazi wa zanzibar na changia hii dawa moja imenisaidia sana nilitumia dawa za hospital kwa muda mrefu zaid ya miaka mitano kwa ajili ya kuondosha maradhi nilokuwa nayo ya kidney stones lkn sikufanikiwa nikahangaika kuna mtu siku moja akanielekeza dawa ya kufanya nikaomba mungu nikafanya basi na mshukuru mungu imenisaidia vitu vya hiyo dawa nivitu maarufu sana
Alovera kipande
Ndimu 2 au moja
Asali vijiko viwili vya kula
Unasaga pamoja u nkunywa kwa siku glass mmoja
Na hii video nimeona youtube inaweza ikafaa kukufahamisha zaid namna ya kufanya
 
Pole kwa maumivu uliyopitia ramla, lakini pia umefanya jambo jema sana kushare jambo jema na bin adam wenzako.
Allah akukinge na kukuponya mwili na nafsi yako amin.
 
Back
Top Bottom