sriyamy
New Member
- Jan 26, 2014
- 1
- 7
Habari wa pendwa jina langu ramla nina miaka 34 mkaazi wa zanzibar na changia hii dawa moja imenisaidia sana nilitumia dawa za hospital kwa muda mrefu zaid ya miaka mitano kwa ajili ya kuondosha maradhi nilokuwa nayo ya kidney stones lkn sikufanikiwa nikahangaika kuna mtu siku moja akanielekeza dawa ya kufanya nikaomba mungu nikafanya basi na mshukuru mungu imenisaidia vitu vya hiyo dawa nivitu maarufu sana
Alovera kipande
Ndimu 2 au moja
Asali vijiko viwili vya kula
Unasaga pamoja u nkunywa kwa siku glass mmoja
Na hii video nimeona youtube inaweza ikafaa kukufahamisha zaid namna ya kufanya
Alovera kipande
Ndimu 2 au moja
Asali vijiko viwili vya kula
Unasaga pamoja u nkunywa kwa siku glass mmoja
Na hii video nimeona youtube inaweza ikafaa kukufahamisha zaid namna ya kufanya