Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 4
Namaanisha juice za matunda yote kwa ujumla yanayokamuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili neno la sharubati linatokana na juisi ya sharbati (itengenezwayo na matikiti). Nadhani haitakuwa vibaya kama "juice" itatafsiriwa kama maji ya matunda; kama kwamtoro alivyoandika.Sharubati
Namaanisha juice za matunda yote kwa ujumla yanayokamuliwa.
Namaanisha juice za matunda yote kwa ujumla yanayokamuliwa.
juice n 1 maji ya matunda/nyama n.k.; juisi (of grated coconut) kasimile, tui. 2 digestive/gastric ~ maji- tumbo. 3 (colloq) mafuta; umeme; gesi. juicy adj 1 -enye maji mengi. 2 (colloq) nayovutia (kwa sababu inaongelea tabia/kashfa za mwingine) give me all the juicy details leta umbeya wote. juiciness n.
Mkuu naona una kamusi karibu. Mie nilisikia ikijadiliwa na akina Mzee Akida miaka ile na walikubaliana juice ni sharubati.
Sharubati
Maji ya matunda
Excellent