Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Juice ni sharubati/maji ya sharubati. Asili ya neno (etimology) ni kwamba neno hili limetoholewa kutoka lugha ya kiarabu.kwa kiarabu neno SHARABA maana yake AMEKUNYWA yaani ni KITENZI, SHARUBAATUN ni VINYWAJI, Kwa hyo sisi waswahili tukaiita juice kama Sharubati/maji ya sharibati tukimaanisha kuwa nacho ni chenye kunywewa/kinywaji kama maana msingi kutoka katika kiarabu ilivyo. Hiki ndicho ninachojua, NPO TAYARI KUKOSOLEWA.