GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Hii ndio yenyewe!Maji ya matunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio yenyewe!Maji ya matunda
Kwa hiyo Malta ni TOGWA?Togwa ni pombe isiyokuwa na kilevi na kiingereza ni shandy
Swali moja majibu kibao. Kazi kweli kweli.
sio sharobati,ni sharubati,limenyumbuliwa kutoka neno la kiarabu sharbat.
Naomba nitafutie kamusi yoyote ile ya Kiswahili inayofasili juice kuwa ni sharubati.
Nikiipata hiyo kamusi nitakupataje mkuu?
Wasiliana nami kwenye PM halafu we will go from there. Okay?
Juice ni SHARUBATI. Au jina la kutohoa ni JUISI. (BAKITA)
with pleasure!
Kwa mujibu wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, TUKI.
juice n 1 maji ya matunda/nyama n.k.; juisi (of grated coconut) kasimile, tui. 2 digestive/gastric ~ maji- tumbo. 3 (colloq) mafuta; umeme; gesi. juicy adj 1 -enye maji mengi. 2 (colloq) nayovutia (kwa sababu inaongelea tabia/kashfa za mwingine) give me all the juicy details leta umbeya wote. juiciness n.