Spider
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,640
- 550
Hili ndio jibu muafaka.
nakumbuka nimeshawahi kuileta hii mada hapa jukwaani na sikupata jibu sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio jibu muafaka.
Mmenikumbusha TOGWA lililokuwa linauzwa hapo Fire brigade Dar (faya), enzi hizo paliitwa "mwembe togwa".
Bora hiyo "juice" ingeitwa togwa... Badala ya kutohoa na kuitwa juisi.
Baba gan wew kilaza kias icho
Maji ya machungwa
Maji ya mabungo
Maji ya ukwaju etc
Kiswahili bado ni lugha masikini sana wa msamiati. Ukweli ni kwamba mpaka sasa neno 'juice' halina mwenza wake wa Kiingereza. Kwa hiyo waliosema 'maji ya matunda' wako sahihi, lakini 'juisi' pia ni sahihi kwa kuwa ni moja tu ya maneno lukuki ya Kiswahili yaliyoazimwa kutoka Kiingereza. Mengine ni kama peni, penseli, shati, sketi, basi, rula, feni, mota, spika, redio, bucha, nk.
" sharubat "