Hii ni juice ambayo niliigundua miaka flan nilipokuwa natumika sana kwa maswala ya wanawake. kipindi hicho kusema ukweli nilkuwa wakati mwingine najikuta nakuwa na mechi tatu kwa siku ambazo zote natakiwa kuperform katika kiwango pasipo kuleta mashaka. niligundua juice hii na niliona kweli inafanya kazi sana pia kunisaidia nisichoke kimwili na kiakili;
1. Parachichi moja
2. Passion kilo moja
3. Embe
4. Tangawizi kias
5. Maziwa kiasi
6. Unga wa soya
7. Asali ya nyuki wadogo badala ya sukari au sukari kidogo
Unachanganya kwa uwiano mzuri, usiweke maji mengi sana, inakuwa nzito kiasi flan ili usipoteze virutubisho. Halafu kunywa asubuhi, mchana na jioni. Na pia usiku unapolala hakikisha umekunywa angalau glass moja. Fanya hivyo halafu utaniambia.
Uzuri wa mambo yaliyomo humo ndan ni virutubisho vizuri kwa ajili ya kurudisha nguvu iliyopotea na pia kuongeza nguvu au kuisitiri isipotee.
Hapo nilikuwa nacheza mechi tatu mpaka nne kwa siku kwa kiwango cha juu!
BILA KUSAHAU PIA SUPU YA AJABU hii pia ilikuwa ni balaa maana ukichanganya vitu hivyo na kama huna mke karibu huwez kulala usiku.
Hivi ni vitu vya asili, ni vyakula, havina madhara mwilini zaidi zaidi ni dawa nzuri kabisa.
Tukutane zaidi mtakapotaka kujua kuhusu SUPU YA AJABU..