Juice ya ajabu: Ni dawa, kinga na virutubisha vya kuongeza nguvu za kiume na kike

Juice ya ajabu: Ni dawa, kinga na virutubisha vya kuongeza nguvu za kiume na kike

Mkuu ahsante kwa muongozo. Tunakuomba utuwekee na vipimo, mfano:
# embe ngapi?
# maziwa kiasi gani?
# unga wa soya kiasi gani? wa aina gani?
# asali kiwango gani?
# maji kiasi gani?
# tangawizi.
# unatumia kwa muda gani au siku ngapi?

Tafadhali tupatie majawabu pamoja na hiyo supu ya ajabu.

Edylux
 
Mkuu ahsante kwa muongozo. Tunakuomba utuwekee na vipimo, mfano:
# embe ngapi?-kulingana na wingi wa juice
# maziwa kiasi gani?-hii sijui
# unga wa soya kiasi gani? wa aina gani?-pia sina uzoefu
# asali kiwango gani?- ni mbadala wa sukari
# maji kiasi gani?- kulingana na uzito wa juice yako
# tangawizi.- kipande kimoja
# unatumia kwa muda gani au siku ngapi?- unakuwa wanywa siku zote
hapa.. Mimi huwa naongezea ubuyu robo kwa maji ya lita tatu...
Naongezea labda na maji lita nyingine 2:5 ya rozela.. Haya ndio huwa nayatumia kusagia vile vingine.. Vilivyotajwa hapo juu na huwa sivichuji na hivyo ninywapo hii juice mara nyingi sikosi choo pia
huwa naongezea na matunda mengine mazuri ya kuondoa sumu mwilini... Cucamber..matango.
Juice ikitoka apo ina rangi ya hatari...
 
ukishasema sisi ni msalaba mwekundu tunahusiana na nguvu za kiume na nguvu za kike Ujue UTAPATA WAHANGA WENGI WENGI KWELI. HUMU HAWAJIFICHI. wengine wanapita kimyakimya
 
Mi sitaki hio.....nguvu niliyonayo peke yake inanisumbua, sasa nyingine ya nini? Naogopa kumgonga housegirl na dada WA wenzangu
 
Kaka chukua Tende kilo moja toa kokwa zake,maziwa lita mja,maziwa mabichi,parachichi moja na karanga Robo kilo changanya saga kwenye blenda.aisee,kunywa glass moja kabla ya kulala, utahamwa.hii ni zaidi ya Mkuyati.
 
Hayo maziwa mabichi na maziwa lita moja ni vitu viwili tofauti??

Hii dozi ni kwa muda wa siku ngapi??
 
Loooh itabidi nijaribu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom