kilo moja ya passion....itakuwa kali aisee
Kaka chukua Tende kilo moja toa kokwa zake,maziwa lita mja,maziwa mabichi,parachichi moja na karanga Robo kilo changanya saga kwenye blenda.aisee,kunywa glass moja kabla ya kulala, utahamwa.hii ni zaidi ya Mkuyati.
Hayo maziwa mabichi na maziwa lita moja ni vitu viwili tofauti??
Hii dozi ni kwa muda wa siku ngapi??