C Chriz emiret New Member Joined May 24, 2015 Posts 1 Reaction score 1 May 26, 2015 #41 Je hayo maziwa naweka mabichi au yaliochemshwa
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 10,931 Reaction score 24,816 Jun 22, 2015 #42 nashukuru kwa ufafanuzi wako ndugu yangu umenisaidia sana. si kilo moja yale yaliyomenywa ni yale mazima lakini pia unaweza weka kulingana na radha maana lengo kubwa la passion ni kukata radha ya huo mchanganyiko mwingne.
nashukuru kwa ufafanuzi wako ndugu yangu umenisaidia sana. si kilo moja yale yaliyomenywa ni yale mazima lakini pia unaweza weka kulingana na radha maana lengo kubwa la passion ni kukata radha ya huo mchanganyiko mwingne.
MduduWashawasha JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 1,653 Reaction score 603 Jun 23, 2015 #43 Ukitaka kupata watu mjini mention nguvu za kiume tu
Mbuna JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 269 Reaction score 71 Sep 26, 2015 #44 Hiyo juice kweli ya ajabu
kingi mweuc JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 266 Reaction score 73 Oct 14, 2015 #45 Hizi dawa zmekua nyingi sasa tutumie ipi
UngaUnga JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 1,724 Reaction score 1,464 Oct 16, 2015 #46 Nguvu Za Kiume Ndo Habari Ya Town
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,056 Oct 16, 2015 #47 MduduWashawasha said: Ukitaka kupata watu mjini mention nguvu za kiume tu Click to expand... Huenda wengi wana upungufu
MduduWashawasha said: Ukitaka kupata watu mjini mention nguvu za kiume tu Click to expand... Huenda wengi wana upungufu
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 623 Mar 26, 2016 #48 MadameX said: kilo moja ya passion....itakuwa kali aisee Click to expand... Sokoni mapasheni yanapimwa kwenye mzani kwa kilo.
MadameX said: kilo moja ya passion....itakuwa kali aisee Click to expand... Sokoni mapasheni yanapimwa kwenye mzani kwa kilo.