Miwa ipo tandale mingiii kila sikuuu kwa elfu saba unapata packeg ,pia usishau feni ya kufukuzia inzi wakati unakamua,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kariakoo gerezan kuna mpare palr anatengeneza. ...changamoto ni location mkuu..na upatikanaj wa bidhaa unasumbua..usipokuwa na nguv kwa kariakoo hupati mzigo...!labda sehem zingine...cjangamoto kubwa zimekuwa yeboyebo

Hivi biashara ya juice na ya matunda fresh ipi inasogea vyema?
Hzi bila shaka ni used, zipo na hali nzuri kwel? Na zina muundo upi? Kama una picha zake share mkuuUsiingie gharama nyingi sana watu wanaziuza...unaweza pata nzuri tu kwa 600k au 700k...
Nashukuru sana mkuu,1.5 had .1.2m
Mm hii biashara naifanyaNaomben ushauri mwenyekujua aina za mashinenzuri za kukamulia wapi zinapatikana kwa hapa Dar
Pia naomba anaejua changamoto zahii biashara aweke hapa walau tuzifahamu
Naomba kuwasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bless up [emoji1317]Mm hii biashara naifanya
Mashine gerezani k.koo,bei million 1.3 Hadi 1.1 million unachukua,ni biashara nzuri ukipata location nzuri yenye mkusanyiko wa watu,unaweza ukajikuta unafanya mauzo Hadi ya laki 150 kwa siku Kama ukipata sehem unayoweza kuuza mizigo Hadi mi5 kwa cku.
Pia mashine unaweza kuchukua kwa watu ambazo zimetumika kwa bei poa ya laki 7 Hadi laki 9.
Kama utahitaji kujifunza mengi kwa vitendo kuhusu hii biashara na kama utataka location nzuri au mashine za uhakika nicheki pm nitakusaidia kwa kukushika mkono.asante
Hv kwa hii bei znakua na torol lake pamoja na mwamvul kabsa au ni mashine peke yake?Mm hii biashara naifanya
Mashine gerezani k.koo,bei million 1.3 Hadi 1.1 million unachukua,ni biashara nzuri ukipata location nzuri yenye mkusanyiko wa watu,unaweza ukajikuta unafanya mauzo Hadi ya laki 150 kwa siku Kama ukipata sehem unayoweza kuuza mizigo Hadi mi5 kwa cku.
Pia mashine unaweza kuchukua kwa watu ambazo zimetumika kwa bei poa ya laki 7 Hadi laki 9.
Kama utahitaji kujifunza mengi kwa vitendo kuhusu hii biashara na kama utataka location nzuri au mashine za uhakika nicheki pm nitakusaidia kwa kukushika mkono.asante
Mkuu hizi mashine zipo za aina nyingi ila ngoja nikupe ufafanuzi kidogo,Kuna mobile hyo unayosema ww ya kitoroli mara nyingi hutumia patrol co umeme maana zina move,pia Kuna mashine ambazo co mobile zinazotumia mfumo wa petrol pia,halafu Kuna hizi za kutumia umeme ambazo mara nyng wkt wakufanya biashara lazima uwe na sehemu rasmi ya kufanyia biashara,pia Kuna ya mkono,hyo ya kwako ambayo ni mobile gharama ni kubwa maana gharama za mashine ni Kama nilivyosema hlo toroli lake gharama nyngne ingawaje utapewa gharama za pa1 huwa zinaenda hadi million 2Hv kwa hii bei znakua na torol lake pamoja na mwamvul kabsa au ni mashine peke yake?
machine tuHv kwa hii bei znakua na torol lake pamoja na mwamvul kabsa au ni mashine peke yake?