kijazi07
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 1,031
- 2,186
Naomben ushauri mwenyekujua aina za mashinenzuri za kukamulia wapi zinapatikana kwa hapa Dar
Pia naomba anaejua changamoto zahii biashara aweke hapa walau tuzifahamu
Naomba kuwasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia naomba anaejua changamoto zahii biashara aweke hapa walau tuzifahamu
Naomba kuwasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app