Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Aiseee ahsante, nmetumia mpk dawa zinaitwa amitritin lakn WAP,,,Nimekuwa nikipata shida ya usingizi (insomnia) kwa muda mrefu sasa. Jana nimekunywa Juice ya nanasi usiku saa nne nikajikuta ghafla naanza kusinzia baada ya muda kidogo kupita. Kwakweli haijawahi kutokea kwa muda mrefu sasa.
Naendelea kutumia Juice ya nanasi tu na nitaleta mrejesho tena.
NB:
Hebu wataalamu mtusaidie kuna uhusiano gani kati ya Juice ya nanasi na Usingizi ? .
Karibu mkuu,tupo pamoja.Aiseee ahsante, nmetumia mpk dawa zinaitwa amitritin lakn WAP,,,
Huu ugonjwa ulianza rasmi 2006 kulala lisaa 1 mbona unashukuru,,,,,,
Ila si wanasema sukari ya nanasi ni ya asili, haina madhara?Wewe endelea kutumia Nanasi kila siku Lakin tambua linaongeza sukari mwilini
Hakuna kitu kama hicho, tatizo kubwa walio wengi tumekosa elimu, Leo hii ukimuuliza mtu kati ya wali na soda ni kipi kinapandisha sukari, tulio wengi tutasema ni soda. Kipimo chaIla si wanasema sukari ya nanasi ni ya asili, haina madhara?