Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Nimekuwa nikipata shida ya usingizi (insomnia) kwa muda mrefu sasa. Jana nimekunywa Juice ya nanasi usiku saa nne nikajikuta ghafla naanza kusinzia baada ya muda kidogo kupita. Kwakweli haijawahi kutokea kwa muda mrefu sasa.
Naendelea kutumia Juice ya nanasi tu na nitaleta mrejesho tena.
NB:
Hebu wataalamu mtusaidie kuna uhusiano gani kati ya Juice ya nanasi na Usingizi ? .
Naendelea kutumia Juice ya nanasi tu na nitaleta mrejesho tena.
NB:
Hebu wataalamu mtusaidie kuna uhusiano gani kati ya Juice ya nanasi na Usingizi ? .