Juice ya tende na maziwa

Hapo kwenye maziwa ukiweza kuyapata maziwa ya ngamia itapendeza zaidi
 
Maziwa mgando au fresh mkuu?
 
Mliotumia hii juice mtupe mrejesho....
Ni nzuri sana kwa AFYA ya Mwili wako.

Na kama ni mtu wa MAZOEZI basi hii ndio yenyewe.

Ukiinywa unajisikia kweli umeingiza kitu Mwilini na sio khasara
 
Hi juice inavutia kwa macho lakini ladha yake ilinishinda
 
Daaaaah......hii kitu ni ameizingi ngi ngi ngiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…