Juice za azam na tatizo la kupata choo kigumu

Juice za azam na tatizo la kupata choo kigumu

Foundation

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
1,421
Reaction score
606
Kuna tatizo la kupata choo kigumu ambalo huwapata watu, tatizo hili husababisha kutoka uvimbe kwenye haja kubwa. Kama tujuavyo choo laini kinapatikana kwa kula matunda kama ndizi,mapapai nk pamoja na kunywa maji mengi sana. Lakini nimefanya utafiti siku za karibuni na kugundua kwamba Juice za Azam kama MANGO NA TROPICAL MIX pia zinasababisha mtu apate choo laini sana.

Sijaja kutangaza biashara hapa ila nawashauri wenye matatizo ya choo wanywe juice za Azam hasa za Tropical mix na Mango mara kwa mara na watapata majibu sahihi

NAWASILISHA
 
Hili nadhan lina ukweli.......sasa napata jibu
isipokua ukinywa sana.....utakua mgeni wa chooo chako.......asante sana mtoa mada
 
Nimecheka mno. Kama sio tangzo la biashara basi angalau ungeipeleka kule kwenye jukwaa la JF Dokta.
 
Hata juice za ukwaju husaidia kupata choo lailni. zoelea kula vyakula vyenye asili ya kamba kamba :der:
 
kula matunda asili mkuu...achana na kemikali hizo.
kama una tatizo la choo kula papai uone kama hujapata
 
kula matunda asili mkuu...achana na kemikali hizo.kama una tatizo la choo kula papai uone kama hujapata
c ndio watakua hawachukuliwi kabsa v2on,ka sa hz 2 wanalipa sh 100lakni bado wananyaswa na makonda,ndo ije iwe bure kwao,maisha ya wadogo ze2 hasa wa hapa dar yatakua magum sana.
 
khabari yake senetor banaa! umeamka na kizunguzungu ama mie ndo nna hangover? nahisi kama umepotea njia vile...
c ndio watakua hawachukuliwi kabsa v2on,ka sa hz 2 wanalipa sh 100lakni bado wananyaswa na makonda,ndo ije iwe bure kwao,maisha ya wadogo ze2 hasa wa hapa dar yatakua magum sana.
 
Choo laini cha nini? Choo kigumu ndiyo mpango mzima
Yaani mimi nashangaa sana mtu mzima na akili zako ukauchafue m.***** wako na mimavi, mimi sinyi wala nini yakinibana nakomaa nayo kibishi hadi yanapotelea mbali.
 
Labda wana changanya uchafu mwingi ndo Result ya choo laini

Is it a scientific reason? Ikiwa hivyo kama unavyosema basi watu wangekuwa wanaendesha sana
 
uongo mbaya hata Ice Cream za Azam ni nzuri sana napenda product zao (sio promo ni kutoka moyoni)
 
Back
Top Bottom