Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya juice za Azam ni makemikali si matunda halisi kama wanavyotaka kudanganya watumiaji.Juice ya matunda halisi ni gharama sana kuitengeneza na wanachofanya Azamu ni kujaza makemikali ya kutosha kuharibu afya yako.
Nakushauri nenda sokoni nunua matunda tengeneza mwenyewe.Matunda katika masoko mengi ni rahisi sana ukilinganisha na haya makemikali ya Azam.
Sasa kama ni makemikali tupu na hakuna matunda, yale matunda yote wanapeleka wapi? wanayatupa au? au hujui matunda ambayo azam hua inatumia kila mwaka? Afu si kila kitu kina madhara kiasi hicho kama mnavyokuza mambo, dunia siku hzi imejaa conspiracy theories sasa kila kitu kinaonekana hakipo sawa, ukianza hayo utabaki kuchukia hadi mafuta ya mboga unayotumia, chumvi, sukari kila kitu utabaki kula majani plain na hayo utasoma yako contaminated sasa utakula nini mwisho wa siku

Juisi za Azam ni marufuku kuingizwa soko la Kenya kwasababu hazikidhi viwango vya ubora kwa mujibu wa shirika la viwango la Kenya.
Sio ushindani wa kibiashara na vile viwanda vya Thika Del monte?
Mimi huwa nashangazwa na wingi wa juisi za embe kulinganisha na maembe yanapatikana Tz! naungana nayi msioamini juisi za huyu mwenzetu kuwa halisiWith EAC free movement of goods si rahisi ki hivyo tatizo hapa ni ubora kiwango cha juice ya Azam ni hovyo sana.
Pascooo, shkamoo!Ili kujua kitu ni fake, ni lazima kwanza ujue original kikoje!. Juice za Azam ni fake!, ndio maana ziko cheap hivyo, hata maziwa kwenye ice cream zake pia ni fake!. Ili kujua juice za Azam ni fake, nunua Ceres onja hala angalia tofauti!. Kama ni jiuce za embe nunua Maaza!.
Anachofanya Azam ni kuweka fruit pulp kidogo tuu, kisha anajaza kemikali za food colors, artificial flavours na sweeterners, ukinywa utaisikia inakereketa!. Hii ni kwa some juices, zile zilizo bora ndizo zilizopelekwa TBC na kupata nembo ya ubora wa TBS, Kenye walipopokea mzigo wa Azam, wakaupima, wakagundua ni fake!, hazina viwango, wakapiga marufuku juices za Azam.
Kutengeza juice home nayo ni changamoto!, kwanza you have to love eating natural organic products, then you can do anything in the name of love.
Pasco