Juice za azam zina madhara yoyote?

Madhara yake makubwa tena utakuta wameandika 'halal' hiyo ni hatar
Waislam ni hatar kwa uhai wetu
 
Una andika hivi huku ukiwa tayari umeshaingia maabara na kutest hiyo juice ikaonekana na hizo kemikali au unaongelea majungu tu hapa? Hebu jamani tujaribu au kama si kuacha majungu tafadhali.

haandiki majungu jiulize fresh juice ukitengeneza usipoitumia kwa siku mbili inaharibika juice ya kemikali inatengenezwa mpaka imfikie mtumiaji ni mda hata miezi lakini haiharibiki na hata ukiifungua usipokunywa hata wiki iko vilevile ni nini?
 

umenikumbusha mbali nilikuwa napenda sana maaza ni juice nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…