Juicy Gossip

Juicy Gossip

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned

So Kama unampenda warumi na mko tayar kupata top five hot gossips in town , basi kazi Kwenu wanazengo, tembezeni likes 200 tu kwa kuanzia , najua mpo Ma elfu humu .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi nakupenda na ninataka kukuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Members wako elfu 2 tuu, hiyo ya maelfu ni tukijumlisha na wale guests.[emoji116]

Screenshot_20190305-213554.jpeg
 
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned

So Kama unampenda warumi na mko tayar kupata top five hot gossips in town , basi kazi Kwenu wanazengo, tembezeni likes 200 tu kwa kuanzia , najua mpo Ma elfu humu .

Sent from my iPhone using JamiiForums
naomba kuuluza wewe ni ME au KE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likes 200 za JF zinakuingizia shilling ngapi? Si bora YouTube na Instagram?
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned

So Kama unampenda warumi na mko tayar kupata top five hot gossips in town , basi kazi Kwenu wanazengo, tembezeni likes 200 tu kwa kuanzia , najua mpo Ma elfu humu .

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ingredients za ubuyu kwanza, unawasha? Una hiliki? Una ndimu? Una chumvi kwa mbali?

Ubuyu wa unga au wa punje??

Kashata za ubuyu zipoo??!

Am outa here, enjoy the gossips with other mates.

Kasie.
 
Haya wadau, Leo nahitaji likes 200 tu nishushe ubuyu utakaotisa jiji la Makonda , na si mnajua Mimi huwa sisemi uongo? Umbea wangu uko verified . So stay tuned

So Kama unampenda warumi na mko tayar kupata top five hot gossips in town , basi kazi Kwenu wanazengo, tembezeni likes 200 tu kwa kuanzia , najua mpo Ma elfu humu .

Sent from my iPhone using JamiiForums
Masahihisho kidogo, hilo neno umeandika "wanazengo" linaandikwa "wananzengo". Kuna " n" kabla ya "z".
 
Wambea wamegoma kusimama wahesabiwe ama nenee?

Kwamba wambea humu JF wachache mno? Basi kweli humu ni home of great thinkers na kuweka katika context ya msemo wa kila penye mamba kenge hawakosekani; basi wambea ni kama kenge na great thinkers ndio mamba wenyewe.

Ungedowngrade ten folds ya likes ulizoomba mbona zingetosha? By the way ni wachache wasiopenda umbea.
 
Unitag basi zikifika binamu maana mi nshagonga yangu. Natoka kidogo
 
Back
Top Bottom