Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako

Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
ORODHA YA JUICE MBALIMBALI (Kwa hisani ya mtandao).

1. Juice ya ukwaju mix na unga wa custard

2. Juice ya carrot na ndimu hii taste inakua kama fanta orange

3. Juice ukwaju tango na zile pipi za kifua

4. Jiuce ya passion na maziwa fresh.

6. Chukua ukwaju loweka then chuja halaf kando chukua custard na maji mix bandika kwenye jiko pika mpk iwe nzito then mix na ukwaju na maji kiasi chako ongeza sukari weka kwa fridge ipate baridi

7. Passion na embe
 
8. Tikiti na passion

9. Mapera na tango

10. Orange juice kisha weka embe bivu na u blend, ajabu sana ladha yake nzuri

11. Carrot zilizochemshwa + maziwa fresh+ condensed milk ( maziwa mazito ya kopo )

12. Nanasi na majani ya mnanaa ( mint )

13. Ukwaju na tangawizi mbichi.

14. Beetroot tangawizi na carrot na passion

15. Nanasi+ mango

16. Nanasi+tangawizi+embe+passion+Carrot

17. beet root, tangawizi,carrot, embe
 
Beetroots(viazi vyekundu)
IMG_20200225_124821.jpg


18. Parachichi, ndizi zilizoiva na maziwa

19. Ndimu na mnanaa(mint)

20. Beetroot, nyanya and passion(tunda)

21. Tikiti and strawberries

22. Parachichi + tango + ndimu + Embe + passion(tunda)+Ubuyu juice
 
23.embe mbili zilizoiva,ndizi moja 1 na ladha ya vanilla robo kijiko cha chai

24. Tikiti maji na black current soda : blend tikitimaji na maji kiasi lakini juice iwe nzito kisha weka kwenye friji wakat wakunywa unachanganya soda na hio juice.

25. Parachichi, maziwa na ndizi

26. Maembe na ndizi mbivu

27. Tikitimaji na juisi ya limao

28. Carrots,passion na mango(karoti,pasheni(tunda)na embe)

29. Parachichi,papai,embe na ndizi mbivu unasaga pamoja na maziwa

30. Beetroots , passion carrots very tastry And Good for blood (viazi vyekundu,pasheni(tunda)na karoti
 
31. Mango,carrot and pineapple.(embe,karoti na nanasi)

32. Ginger, mint And lemon very tasty(tangawizi,mnana na limao)

33. Avocado +milk (parachichi na maziwa)

34. Passion +carrots na sugar (pasheni,karoti na sukari)

35. beetroot + carrots+ watermelon ( a lot since it has lots of water)+little bit of lemon/ ginger.


ENJOY!!!
 
31. Mango,carrot and pineapple.(embe,karoti na nanasi)

32. Ginger, mint And lemon very tasty(tangawizi,mnana na limao)

33. Avocado +milk (parachichi na maziwa)

34. Passion +carrots na sugar (pasheni,karoti na sukari)

35. beetroot + carrots+ watermelon ( a lot since it has lots of water)+little bit of lemon/ ginger.


ENJOY!!!
Wanaume wa Dar inawafaa kwa ajili ya nguvu za kiume?
 
Hamna darasa mkuu ni kujiongeza tu. Ila kule insta nimeona kuna pages za darasa la mapishi ,barafu ,keki hata juisi
Darasa zaidi au kwa anayetaka kujifunza kibiashara je nafasi hiyo inapatikana?
 
Back
Top Bottom