Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Ngoja na mm ninywe niongeze uzitoNumbisa namba 18 na 25 hizo mambo nikinywa huwa natoka kitambi kabisaa,alafu nakuwa mzito sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja na mm ninywe niongeze uzitoNumbisa namba 18 na 25 hizo mambo nikinywa huwa natoka kitambi kabisaa,alafu nakuwa mzito sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii #2 nitaijaribu keshoORODHA YA JUICE MBALIMBALI (Kwa hisani ya mtandao).
1. Juice ya ukwaju mix na unga wa custard
2. Juice ya carrot na ndimu hii taste inakua kama fanta orange
3. Juice ukwaju tango na zile pipi za kifua
4. Jiuce ya passion na maziwa fresh.
6. Chukua ukwaju loweka then chuja halaf kando chukua custard na maji mix bandika kwenye jiko pika mpk iwe nzito then mix na ukwaju na maji kiasi chako ongeza sukari weka kwa fridge ipate baridi
7. Passion na embe
Nimeshaanza kukazana hapa + yoghurtHalafu hii ni kweli,parachichi linanenepesha,linastawisha ,linaleta nuru maana lina mafuta ya asili
Mchawi hapo ndiziNumbisa namba 18 na 25 hizo mambo nikinywa huwa natoka kitambi kabisaa,alafu nakuwa mzito sana,
Sent using Jamii Forums mobile app