Juice ya mabungo ni juice tamu kuliko zote...
Cc Angel Nylon n Mrs Kharusy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Juice ya mabungo ni juice tamu kuliko zote...
Cc Angel Nylon n Mrs Kharusy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Umenena jaan!!....hii mm husaga na vitango....mmmmmh
Niliposoma tu heading mate yamenitoka napenda sana mabungo
nayaonaga sana ila sikudhani kama yanaweza kutengenezwa juice na ikawa bomba! tajaribu
Juice ya mabungo ni juice tamu kuliko zote...
Cc Angel Nylon n Mrs Kharusy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Thanks dear
Kusema kweli mimi nimewacha kutumia arki kwenye fresh juice.
Napenda nipate test ya tunda yenyewe. Na kama juice ya bungo, nanasi na oranges nafanya bila kumix with another tunda nipate Ile ladha yenyewe.
Mie napenda arki sana kwenye tambi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mie napenda arki sana kwenye tambi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yaasalam.
Haswa ya vanilla. Na rose kiduuchu.
nguvu za kiume je?Juice ya mabungo ni juice tamu kuliko zote...
Cc Angel Nylon n Mrs Kharusy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Tui la nazi tena? Sasa hiyo ni juice au mchuzi?Hapo changanya na tui la nazi kidogo, uone mlango mwingine wa fahamu USIOJULIKANA utakavyokusumbua
Juice na mchuzi vyote ni vimiminika, tofauti ni uaandaaji tu. Hope we ni mwanaume wa DarTui la nazi tena? Sasa hiyo ni juice au mchuzi?
Mimi ni crossbreed ya dar na mkoani.Juice na mchuzi vyote ni vimiminika, tofauti ni uaandaaji tu. Hope we ni mwanaume wa Dar