Juisi ya mabungo

Juisi ya mabungo

nguvu za kiume je?
Hapo changanya na tui la nazi kidogo, uone mlango mwingine wa fahamu USIOJULIKANA utakavyokusumbua
Tui la nazi tena? Sasa hiyo ni juice au mchuzi?
Juice na mchuzi vyote ni vimiminika, tofauti ni uaandaaji tu. Hope we ni mwanaume wa Dar
Mimi ni crossbreed ya dar na mkoani.

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
ZAMANI JF WALIKUA WANAJADILI MAMBO BILA MASKHARA NA UJINGA...
HUU UZI WA 2014 LAKINI HAMNA COMMENT HATA MOJA YA KIPUUZI ZAIDI YA ZENU MLIZONGEZA 2018.
YOU CAN IMAGINE JF INAVYOPOROMOKA...
N.B.
NIMEWAANDIKIA MIHERUFI MIKUBWA KWA MSISITIZO.
USELESS KABSA.
 
ZAMANI JF WALIKUA WANAJADILI MAMBO BILA MASKHARA NA UJINGA...
HUU UZI WA 2014 LAKINI HAMNA COMMENT HATA MOJA YA KIPUUZI ZAIDI YA ZENU MLIZONGEZA 2018.
YOU CAN IMAGINE JF INAVYOPOROMOKA...
N.B.
NIMEWAANDIKIA MIHERUFI MIKUBWA KWA MSISITIZO.
USELESS KABSA.
Keyword "zamani"

But why so serious?
 
Juisi Ya Mabungo

Vipimo: Kupata takriban gilasi 6

Mabungo................................................ 3

Maji....................................................... 6 au 7 Gilasi

Sukari..................................................... kiasi upendacho

Chumvi.................................................... kidogo sana


Namna Ya Kutayarisha:

1. Kata mabungo na toa nyama yake tia katika mashine ya kusagia.

2. Tia maji, sukari na chumvi usage kidogo tu.

3. Chuja kisha mimina katika jagi uweke katika friji.

4. Mimina katika gilasi.

Vipi kuhusu nguvu,inasidia kuongez nguvu za kiume?.kama haisaidia kuongeza nguvu za kiume haitapata airtime.maana siku hizi ukiongelea chakula ongelea kinavyochangia kuongeza nguvu ya kiume ndiyi kinapata atention
 
Back
Top Bottom