Juisi Ya Melon Na Embe

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Juisi Ya Melon Na Embe

Vipimo Na Mahitaji


  • Tikiti la asali (honey melon)..............1
  • Unga wa embe au embe...................1
  • Tangawizi........................................1 Kijiko
  • Ndimu..............................................1
  • Sukari..............................................¼ Kikombe cha chai
  • Arki rose..........................................2 Matone

Namna Ya Kutayarisha

  • Limenye melon na ulikate kate kisha tia kwenye blender
  • Tia unga wa embe au embe iliyokatwa katwa
  • Kisha tia ndimu iliyokatwa vipande kiasi pamoja na maganda yake
  • Halafu weka sukari
  • Saga vizuri hadi ilainike

Mimina kwenye jagi kisha tia matone mawili ya arki rose ukoroge na tayari kwa kunywewa



Kidokezo:

Ukiweka ndimu weka na maganda yake unapata ladha nzuri zaidi.
 
mh!! am salivating, ila mkuu naomba kuelekezwa hiyo arki rose ndio nini?? thanx in advance
 
napenda juic asilia yenyewe bila kuongeza sukari wala chochote kila labda maji kwa mbali ucpme utamu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…