Juisi ya miwa ni salama?

sio wote wanaotengeneza juice ya miwa ni wachafu mimi nakunywaga mwembechai ni wasafi balaaa na hii juice ukiionja kila siku utatamani unywe
 
Mi sijawahi kuionja kwa sababu nakatishwa tamaa na namna zinavyoandaliwa as watengenezaji wanakuwaga wamezingirwa na nzi....so its not safe!
 
sio wote wanaotengeneza juice ya miwa ni wachafu mimi nakunywaga mwembechai ni wasafi balaaa na hii juice ukiionja kila siku utatamani unywe

siamini huo usafi. Kuna mbadala wa kushika ila miwa? Wanamenya maganda? Miwa inakwanguliwa au inaishwa? Jibu kwanza hayo
 
Kwani kuna madhara ya moja kwa moja yametokea ndo serikali ichukue hatu?
 
Tusubiri basi hayo madhara ya moja kwa moja
 
Tusubiri basi hayo madhara ya moja kwa moja
Si juisi ya miwa tu! juisi yoyote kama utengenezaji wake si salama ni hatari kwa afya.Ila juisi ya miwa kama mtumiaji mzuri utajua vijiwe vinavyotegeneza juisi kwa usafi kwa sababu hata mishikaki inapatikana hotelini na mingine inachomwa ovyoovyo kwenye vituo vya daladala ni juu yako kuchagua.
 
Hadi nimecheka, dah! Nakushauri uwe unanunua miwa ukale home. Ile juisi ina mengi ndugu, sijui ni kwa nini nyie wanywaji hamwoni.
wacha watu wapate kinywaji wangapi wanazingatia afya na wanakufa kwa kuhara wacha watu wajinome bana.
 
Usipo tapika kunywa mpendwa!kwani vingine tunavyo kunywa tunaviona?bora hata hiyo juice ya muwa unaiona

Sent from my BlackBerry 9780{katefar}
 
Natamani kuionja ila shida ni mazingira ya utengenezwaji wake.
 
Juice ya miwa ni taam balaa jama huichanganya na tangawizi kuiongezea ladha, hakika ukishainywa kuiacha si kitu rahisi cha muhimu ni kuangalia mazingira ukiridhika nayo kunywa, ingawa kunawakati inabidi kufumba macho na kuinywa maana kiu yake ni balaa. Kunasiku niliikuta kwenye kuna moja kituoni Mwenge nikajipa moyo ukimchunguza sana bata hutamla nikalamba glass.
 
kuna jamaa pale karibu na usesi bar pale maeneo ya makubur jamaa anatengeneza juice kwa mashine ya kisasa na kwa usafi wa hali ya juu sana,namkubal sana huyu jamaa,tena ni msabato,yupo smat sana.
usesi ndo wapi.na mimi nikanywe aisee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…