Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
- Thread starter
- #21
Natafuta mashine ya kutengeneza supu ya pweza
Unachotaka kufanya ni sawa na kuchemsha miwa na kuwauzia watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta mashine ya kutengeneza supu ya pweza
pia nasikia juice ya miwa ni nzuri na inarudisha heshima nyumbani!
sio wote wanaotengeneza juice ya miwa ni wachafu mimi nakunywaga mwembechai ni wasafi balaaa na hii juice ukiionja kila siku utatamani unywe
Si juisi ya miwa tu! juisi yoyote kama utengenezaji wake si salama ni hatari kwa afya.Ila juisi ya miwa kama mtumiaji mzuri utajua vijiwe vinavyotegeneza juisi kwa usafi kwa sababu hata mishikaki inapatikana hotelini na mingine inachomwa ovyoovyo kwenye vituo vya daladala ni juu yako kuchagua.Tusubiri basi hayo madhara ya moja kwa moja
wacha watu wapate kinywaji wangapi wanazingatia afya na wanakufa kwa kuhara wacha watu wajinome bana.Hadi nimecheka, dah! Nakushauri uwe unanunua miwa ukale home. Ile juisi ina mengi ndugu, sijui ni kwa nini nyie wanywaji hamwoni.
usinywe mkuu kwani lazimasiamini huo usafi. Kuna mbadala wa kushika ila miwa? Wanamenya maganda? Miwa inakwanguliwa au inaishwa? Jibu kwanza hayo
ile kitu ni kama mimi na JF yani nikiona kibanda lazima niingieHadi nimecheka, dah! Nakushauri uwe unanunua miwa ukale home. Ile juisi ina mengi ndugu, sijui ni kwa nini nyie wanywaji hamwoni.
Kwa mgonjwa wa Kisukari inafaa anywe hii juisi?
Basi wewe chunga maana huwezi kujizuia. Nunua miwa tuile kitu ni kama mimi na JF yani nikiona kibanda lazima niingie
usesi ndo wapi.na mimi nikanywe aisee...kuna jamaa pale karibu na usesi bar pale maeneo ya makubur jamaa anatengeneza juice kwa mashine ya kisasa na kwa usafi wa hali ya juu sana,namkubal sana huyu jamaa,tena ni msabato,yupo smat sana.