NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Acheni hayo mambo wakuu sio saizi yetu na sio mahali pake hapaWAKUU
KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?
Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?
Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?
Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?
Mungu ibariki Tanzania!
Heading ina hojaWAKUU

Wasiwasi akili, Samia.
View attachment 2388810
Ustaadhi
Anaogopa katiba, mpango anaweza kuokota dodo.WAKUU
KWA wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!?
Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza!kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida!juzi kwenda na kiti chake!haamini kiti cha upako!?
Ina Maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!?
Anaogopa nani,nini,kwanini,KWA lengo lipi!?
Mungu ibariki Tanzania!
Anaogopa Nini mkuu!?Wabongo ni wazushi sana!
Kila zama na kitabu chake !! By H.E Ali H. Mwinyi!!Anaogopa Nini mkuu!?
Mwl NYERERE,jpm,jk,mkapa sikuona hii kabisa!hii ni Nini!?
Sawa mkuu nimekomaAcheni hayo mambo wakuu sio saizi yetu na sio mahali pake hapa
Kwani wewe unataka umfanye nini hasa?WAKUU