Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 236
Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David kafulila nae ameamua kujiondoa chadema na kuporomosha madongo mazito kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Freeman Mbowe .
http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8dd2901b748ea8e?hl=sw
bado zito naeLile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David kafulila nae ameamua kujiondoa chadema na kuporomosha madongo mazito kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Freeman Mbowe .
http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8dd2901b748ea8e?hl=sw
mimi nasubiri kwa hamu kweli na zitto aondoke kwa sababu nae kichwa kimeisha mvimba na kujiona anafaa sana.
Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.He he heeee!habari nilizozipata muda si mrefu kutoka kwenye chanzo changu cha habari inasemekana jamaa alikuwa ni mzigo tu pale CHADEMA,alikuwa ni kilaza kisicho na mfano kiasi kwamba alianza kutiliwa mashaka elimu yake,yawezekana amefoji vyeti.Si mmemuona wenyewe kwenye TV hajui hata kujieleza.Inasemekana tangu ateuliwe kwenye idara aliyokuwa akiitumikia hajawahi kufanya chama maana zaidi ya kusihia kulalamika tu.Nasikia ni kijana mlalamishi kuliko hata mtoto aliyenyimwa ndizi na ndugu yake.Mimi niliwahi kumuona siku moja kwenye kongamano la vijana wa vyuo vikuu mwaka jana pale Iringa kwa kweli alitia aibu ya aina yake.Alitakiwa kutoa mada fulani kama Mheshimiwa kutoka makao makuu lakini jamaa alikuwa anasoma utadhani imekuwa hotuba badala ya kuwasilisha mada na kuijadili....Agh aliniboa sana.Mwache atoke CHADEMA ni chama makini chenye vijana makini na mahiri kama Zitto,Mnyika,Halima na wengineo.......hebu wenyewe semeni milkuwa mkimfahamu kabla?si mmemjua juzi tu katika harakati za uchaguzi wa CHADEMA sikuzote alikuwa wapi?nasikia ana miaka kadhaa pale makao makuu kwao.
Hakuna binadamu anayevumilia kukaa katika mazingira yasiyomweka huru.
Siku zote mazingira yako huru ila mtu ndo hukosa kuwa huru ama kwa hiyari kama ambavyo huyo jamaa alivyo au pasipo hiyari.Huyu jamaa ni mtumwa na atandelea kuwa mtumwa kila aendako kwani ni mvivu sana wa kufikiri.
Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.
Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.
...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.[/QUOTE said:Tumain
Naona hata hujui maana ya kihiyo poor you!PHD ni PHD,iwe ya kuongoza kanisa,msikiti,nyumba,kuosha vyombo ni PHD. Jenga hoja za msingi sio vijembe vya kwenye kahawa vya hapo chamani kwenu.
Wewe ndio kilaza kweli anakuwa haperform akianza kuuliza matumizi mabaya ya fedha...lol acha ushabiki wa ki-chadema chadema hatuko killimanjaro uchagani hapa tiko kwenye uwanja wa JFTumain
Kweli na wewe ni kilaza mwingine hata kusomavizuri hujui.Nimesema hivi inasemekana jamaa ni kilaza kwani alikuwa haperform vizuri kwenye idara yake ukilinganisha na elimu aliyokuwa anadai anayo,kwa mujibu wa vyei vyake alivyopeleka CHADEMA. Nadhani umenielewa rafiki yangu acha ushabiki wa ki CUF CUF hatuko pemba hapa tuko kwenye uwanja wa JF
Ungesema maana yake..kama wewe una hoja..wewe huna hoja ni mpuuzi tu...huyo Slaa ana PhD ya kuongoza kanisa..au sheria za kanisa..ala! huelewi au ushabiki unakusumbua.Tumain
Naona hata hujui maana ya kihiyo poor you!PHD ni PHD,iwe ya kuongoza kanisa,msikiti,nyumba,kuosha vyombo ni PHD. Jenga hoja za msingi sio vijembe vya kwenye kahawa vya hapo chamani kwenu.