Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume.
Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10 na walikuwa wanamkamia hasa, mtu kama huyu utamridhisha kweli ndani ya ndoa?
Mtu kalala hajishughulishi, kichwani anawaza, vikoba, ma ex etc tafikaje kileleni kirahisi? Akichelewa au asipofika lawama kwako tena daaa.
Kweli wanaume tumeumbiwa mateso na hili ni moja wapo.
Ni kweli bro. wanaume tumeumbwa kutimiza wajibu kila wakati na katika mazingira yote, tofauti na wanawake ambao wameumbwa kupokkea.
Ilisha wahi kunitokea nikakutana na mwanamke, tena mke wa mtu, Mola nisamehe.
Yule mwanamke alikuwa hot, inaelekea hajawahi kufika kileleni kwa miaka yake karibu yote ya ndoa.
Ukimfikisha mwanamke kileleni anakuwa tofauti kabisa, anafuraha, anaongea na wakati mwingine analia.
Basi nikamwuliza huyu bibie mbona hivo, akaniambia hajwahi fika kileleni kwa niaka zaidi ya ishirini, na mume wake hamfikishi.
Nikajiuliza kwa nini na baadaye nikamwuliza na huyo bibie.
Na hapo ndio nikajua kuwa wanaume tunaliwa mabibi zetu tusipowafikisha mlima Kilimanjaro.Aktoboa wazi kuwa mumewe akisha kojoa na kukoroma, huyo usingizi unamchukua.
Yeyeanabai na hamu kisha hamu inapotea.
Inakuwa hivyo miaka nenda rudi.
Akasema mimi nilikuwa tofauti maana nilimuamshia hamu na sikuwa na haraka na tendo, huku ninampadisha mlimani pole pole.
Na alipofika mlimani kilimanjaro akajiachia na kuanguka freefall, huku akikoj...a kibao na makelele ju.
Mwisho akaoni soni na kuanza kulia!
Wandugu haya ni ya kweli si ngano za riwaya.
Wanaume wafkisheni wake zenu kilele cha mlima Kilimanjaro msiwaache Madara Hut mradi we umeridhika.
Usipofanya hivyo kuna kajamaa katamfikisha1