akajaseh mbambah
Member
- Jun 11, 2021
- 6
- 1
Wasomi wa hii nchi wako mstari wa mbele kuelewa hizo kodi mpya kwamba ni ngumu kupata vyanzo vipya vya mapato...wakisahau kuna mishahara isiyokatwa kodi, kuna exemptions kibao tu.Mishahara ya wabunge, kiinua mgongo na malupulupu yao yakatwe kodi kubwa zaidi.