Jukumu la Mangungu pale Simba ni kufungua na kufunga vikao tu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno

Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya

1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi
Mkubwa pale kwenye bodi ya Simba ni Rais wa heshima Mo Dewji

2. Mangu hana uweZo wa kuitisha mkutano mkuu.
Mwenye uweZo ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba ambaye ni Mo Dewji
Wanachama wa Simba wanataka mkutano mkuu, wao wanamlazimisha Mangungu aitishe mkutano mkuu lakini hawajui kuwa Mangungu hana mamlaka hayo kikatiba

3 Simba haijasajili hata mwanachama 1 zaidi ya miaka 8
Wanachama wengi wa Simba ni wazee na hawa tunaowaona mtaani ni wapiga kelele tu, hata kwenye mkutano mkuu hawaingii kufanya maamuzi

4. Mangungu hamiliki vyanzo vya fedha wala account ya benk ya Simba.
Mangungu siyo final signatory benk ili kupata pesa ya kuendesha club na kufanya usajili.
Final signatory benk Huwa anafanya mkurugenzi bodi ya wakurugenzi ambaye ni Mo Dewji

5. Mangungu hafanyi usajili Simba
Usajili wa Simba Huwa unafanywa na Machawa wa Mo Dewji.
Yaani Mangungu anaweza kuwaona wachezaji wazuri lakini mizunguko ikawa Mungu
Kumbuka Mangungu ndo alikuwa wa kwanza kuwahitaji Azizi ki, Maxi, Mudathiri, Pacome, Sowah, Adebayo n.k lakini ilishindikana kisa machawa wa Mo kutaka kuleta wachezaji wa kawaida

Mashabiki wa Simba ni kama hawaelewi katiba Yao

Mwacheni Mangungu hangaika na Mo, ndo boss wa Simba, mlimuuzia timu na kumpitishia katiba ya mbumbumbu ili kulinda timu ikifanya vibaya lawama Kwa Mangungu

Mangungu 5 ✋ tena
 
Unakuta mbumbumbu imekazana "Atuachie Simba yetu!!." Hata tofauti ya shabiki na mwanachama haijui. BTW, Simba ina wanachama wangapi?
 
Kwa hali hii basi mwekezaji achukue tu zile bilioni zake 20, halafu tumkabidhi timu Mwenyekiti Mangungu.
 
Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno

Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya

1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi
Mkubwa pale kwenye bodi ya Simba ni Rais wa heshima Mo Dewji

2. Mangu hana uweZo wa kuitisha mkutano mkuu.
Mwenye uweZo ni Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba ambaye ni Mo Dewji
Wanachama wa Simba wanataka mkutano mkuu, wao wanamlazimisha Mangungu aitishe mkutano mkuu lakini hawajui kuwa Mangungu hana mamlaka hayo kikatiba

3 Simba haijasajili hata mwanachama 1 zaidi ya miaka 8
Wanachama wengi wa Simba ni wazee na hawa tunaowaona mtaani ni wapiga kelele tu, hata kwenye mkutano mkuu hawaingii kufanya maamuzi

4. Mangungu hamiliki vyanzo vya fedha wala account ya benk ya Simba.
Mangungu siyo final signatory benk ili kupata pesa ya kuendesha club na kufanya usajili.
Final signatory benk Huwa anafanya mkurugenzi bodi ya wakurugenzi ambaye ni Mo Dewji

5. Mangungu hafanyi usajili Simba
Usajili wa Simba Huwa unafanywa na Machawa wa Mo Dewji.
Yaani Mangungu anaweza kuwaona wachezaji wazuri lakini mizunguko ikawa Mungu
Kumbuka Mangungu ndo alikuwa wa kwanza kuwahitaji Azizi ki, Maxi, Mudathiri, Pacome, Sowah, Adebayo n.k lakini ilishindikana kisa machawa wa Mo kutaka kuleta wachezaji wa kawaida

Mashabiki wa Simba ni kama hawaelewi katiba Yao

Mwacheni Mangungu hangaika na Mo, ndo boss wa Simba, mlimuuzia timu na kumpitishia katiba ya mbumbumbu ili kulinda timu ikifanya vibaya lawama Kwa Mangungu

Mangungu 5 ✋ tena
Tatizo la Simba SC ni mashabiki na wanachama ambao hawako hai kwa muda wa miaka 7, pia kwa uzembe wa kuto yafanyia kazi mapungufu ya katiba ya club ya Simba

Mangungu yupo kama sana, (figure head)

Changamoto aliyo nayo Mangungu aliahidi makombe yote na kuifunga yanga
 
Bado yeye ni kiongozi wa wanachama na timu ya Simba ni timu ya wanachama.

Angewaita wanachama na kuwauliza kama wacheze au wasicheze na wanachama wakiamua basi ndiyo itakavyokuwa.

Pia inaonyesha Simba wengi waliutaka mchezo wa tarehe 8
 
Mambo ni magumu
 
Back
Top Bottom