Weka hiyo miswaada hapa kwan hatujaipata. hatuwezi kutoa maoni kwa mihemko/povu ya itikadi fulan.Kuna miswada mitatu ya sheria iko bungeni, lakini sijaona hata thread moja kwenye hili jukwaa kuhusiana na hili naona inajadiliwa kwenye jukwaa la siasa. Vp wanasheria chambueni hii miswada hapa jukwaani nini tafsiri yake kwa maslahi mapana ya nchi?
Ndio aiweke ichambuliwe fasta
Ndio aiweke ichambuliwe fasta