Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Jamiiformula sijawahi kuingia kwasababu halipoSalaaam wakuuuuuu......
Za jumamos hiko hivi jamiiformula ina majukwaa mengi sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la Mmu,chitchat,elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja kulifungua na kwa nini?
Jamiiformula sijawahi kuingia kwasababu halipo
Salaaam wakuu,
Za Jumamosi hiko hivi Jamii forum ina majukwaa mengi, sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la MMU, Chitchat, Elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja kulifungua na kwanini?