Jukwaa gani haujawahi kulifungua?

Jukwaa gani haujawahi kulifungua?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
643
Salaaam wakuu,

Za Jumamosi hiko hivi Jamii forum ina majukwaa mengi, sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la MMU, Chitchat, Elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja kulifungua na kwanini?
 
Hiyo jamiiformula siku ya kwanza kuingia nilikutana na manyani
 
dogo unapeleka puta na hizi thread zako
 
Salaaam wakuu,

Za Jumamosi hiko hivi Jamii forum ina majukwaa mengi, sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la MMU, Chitchat, Elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja kulifungua na kwanini?

MMU
 
Back
Top Bottom