Jukwaa gani haujawahi kulifungua?

Jukwaa gani haujawahi kulifungua?

Jukwaa La Kikubwa.
Nalisikia tu, sasa najiuliza liko wapi na kwanini sina access humo.
 
Hebu screen shot nitumie pm please... Aki sijawahi labda uzi ulikuwa MMU ukahamishwa but huko sijawahi fika!!
Sasa umejuaje kama uzi ulikua MMU na ukahamishiwa kwenye hilo jukwaa lenu...[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Napita Kwa kulia.

Jukwaa la siasa hata like sijawahi kutoa
 
Ninayo yafungua siyajui na ambayo sijayafungua pia siyajui mkuu ,
 
Back
Top Bottom