Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Achana nae huyo hakufai mpaka hazitakiHela zenyewe hazitaki visingizio kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo hakufai mpaka hazitakiHela zenyewe hazitaki visingizio kibao
[emoji3][emoji3][emoji3]Jana utamu ulizidi ukajisahau ukaweka comment cku nyingine unapitaga kimyakimya
Unachangia sh ngapiIjangie jamiiforum uingizwemo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kasema mtumie pmHalaf defence yake anataka nileye scrn shot nipigwe ban
Tumeshakujua ni member mwenzetuHahaha
Ulikuwa MMU huo Uzi....
Tena jamaa alitupiamo bamia nkasema nimemiss mlenda....
Kule siwezi jaribu ingia kamwe
Yani yule anatembea na roho yangu kama tatiana na mfalme wa usikuAchana nae huyo hakufai mpaka hazitaki
Kishaujua uzi anajifanya eti ulikuwa MMU[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kasema mtumie pm
[emoji3][emoji3] halaf ule uzi kama ulikua mmu mbona sijaona cha kufanya uhamishiwe jlw kulikua hamna picha mbayaKishaujua uzi anajifanya eti ulikuwa MMU
Ahaha utamsababishia dada angu aleft hapa kwenye huu uziTumeshakujua ni member mwenzetu
Mie sio MkuuTumeshakujua ni member mwenzetu
Aisee pole mnoo nipe hizo hela nimpelekee mieYani yule anatembea na roho yangu kama tatiana na mfalme wa usiku
KhaaaYani yule anatembea na roho yangu kama tatiana na mfalme wa usiku
SeriousKishaujua uzi anajifanya eti ulikuwa MMU
Nilikuambia ntumie pmHalaf defence yake anataka nileye scrn shot nipigwe ban
Sema nikupe tu ukionge kiben 10 chakoAisee pole mnoo nipe hizo hela nimpelekee mie
Leta nimshikie mwayaHela zenyewe hazitaki visingizio kibao
Sihongi mwanaume mie aisee mfugo aina ya binadamu sifugi tena Ben10 ndio sipatani navyoSema nikupe tu ukionge kiben 10 chako
Hahaha hao wazee watakufia kifuani shauri yakoSihongi mwanaume mie aisee mfugo aina ya binadamu sifugi tena Ben10 ndio sipatani navyo
Ndo nawaambia sasa ulikuwa MMU[emoji3][emoji3] halaf ule uzi kama ulikua mmu mbona sijaona cha kufanya uhamishiwe jlw kulikua hamna picha mbaya
Acha wanifie tu kuliko kufiwa na kiben10 kipo kwa ajili ya fursaHahaha hao wazee watakufia kifuani shauri yako