Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Acha kumlisha maneno sisi hatuna utoto wa team kama wenu sisi ni watu wazima ..dogo tupo hapa kusogeza gurudumu mbeleWewe unaamini mtoa mada Hana uteam?
Hili hata nikikujibu litakusaidia nini wewe.?Wewe upo media gani?
Nilichogundua kutoka kwako wewe una chuki binafsi na Diamond na ndio maana ukitokea mtu yoyote kupost Jambo zuri la huyo msanii wewe unatoa povu alafu unasema hauna team na ndio maana hata hao uliyowalist wanajulikana wapo wapi? Ila umeshindwa kumtaja NumbisaHujaelewa na labda tu niambie hiyo team yangu unayosema ni IPI?
Ungejua kazi yangu wala usingeniletea uchawa hapa ..
Mbona sasa wewe huwa unataka mawazo yako yafanane na kila mtu? Mtu akipinga unasema chuki..
Badilika dogo kuna maisha baada ya uchawa
Nimejaribu kufuatilia baadhi ya comment zako mkuu nimejiridhisha kuwa na wewe ni kama hao ulio wataja hapo juu.Huna usawa hata kidogoSijawahi kufanya huo ujinga wa kuwa na team ..
Mbona mwenye media yetu huwa napiha ngoma za aina zote?
Hii ni kuonesha nasapoti kadri ya uwezo wangu ..
Natoa sifa na ushauri panapostahili .
Huwa namjibu mtu kutokana na anavyokuja
Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 huyu pancho boy amejificha anazani watu hawamuoniNimejaribu kufuatilia baadhi ya comment zako mkuu nimejiridhisha kuwa na wewe ni kama hao ulio wataja hapo juu.Huna usawa hata kidogo
Hao utaweza kunambia ni team IPI?Ignore list yako imejaa mkuu??? kwa nini usiwatie humo hao watu uache kutaabika???
Even though,hata wewe mwenyewe chawa mkuu, mbona hujawataja akina mkaruka,numbisa,play boy,n.k???
😂😂😂😂 Wacha nikae kimya.Wewe unaamini mtoa mada Hana uteam?
Weka hapa bro huo ushahidiNimejaribu kufuatilia baadhi ya comment zako mkuu nimejiridhisha kuwa na wewe ni kama hao ulio wataja hapo juu.Huna usawa hata kidogo
Watu gani hao wakwapi?Nakuunga mkono kwa asilimia 💯 huyu pancho boy amejificha anazani watu hawamuoni
Hata kama mimi mgeni hapa jukwaani lakini kiongozi unaviashiria vya chuki kwa wanaopost nyuzi za WCBWeka hapa bro huo ushahidi
Tatizo wageni bado hamjatujua vizuri
Wanaonijua wanajua nawekaga masihara ila yanaonekana kama ukweli
Kumbe hujajua?Nilichogundua kutoka kwako wewe una chuki binafsi na Diamond na ndio maana ukitokea mtu yoyote kupost Jambo zuri la huyo msanii wewe unatoa povu alafu unasema hauna team na ndio maana hata hao uliyowalist wanajulikana wapo wapi? Ila umeshindwa kumtaja Numbisa
Hahahahahah dah kwa kweli jukwaa limekufa hiliHata kama mimi mgeni hapa jukwaani lakini kiongozi unaviashiria vya chuki kwa wanaopost nyuzi za WCB
wewe upo hapa kila siku unajifanya huwajui akina mkaruka, Playboy, numbisa,n.k acha unafiki wewe. We unachuki na Diamond na unajulikana.Hao utaweza kunambia ni team IPI?
Halafu wewe dogo kuwa chawa unadhani kila mtu ni chawa kama wewe.
Mbona Mimi mwenyewe namsifia? Kama kafanya fresh?Hutaki kabisa domo wamsifie
Playboi umemuona lini.wewe upo hapa kila siku unajifanya huwajui akina mkaruka, Playboy, numbisa,n.k acha unafiki wewe. We unachuki na Diamond na unajulikana.
Onesha post ya mkaruka akimpongeza Diamond au WCB hapa.Playboi umemuona lini.
Tatizo humjui numbisa yule mwenzenu anachukulia funny tu hapa na wala sio hater kama.mnavyodhani...
Kuhusu mkaruka huwa mnapishana mawazo na kama kawaida yenu mtu akiwa challenge mnamuita ana chuki hahahahahah
Badilika dogo
Ina maana bado hujaelewa? Numbisa hayuoo serious anawazngua tu na nyie mnatokwa na mapovu na hasira juu na kujaza watu chuki ..Onesha post ya mkaruka akimpongeza Diamond au WCB hapa.
Onesha post ya numbisa aliipongeza wcb au Diamond,acha unafiki bwana.
Diamond na Ali Kiba wote ni mediocres tuMwanzo jukwaa hili lilikuwa lina vitu vitamu vinavyohusu ma celebrity wetu na muziki wao kiujumla huku wanajamvi wakigusia pande zote kuhusu muziki wetu na lilinoga sana.
Ila majuzi hapa jamvini wamekuja chawa rundo humu ndani na kuharibu jukwaa kwa nyuzi za kichawa chawa ,ushabiki maandazi huku wakigeuza jukwaa kuwa Instagram ya umbea umbea.
Na uteam bila wao kulipwa hata mia ...!
Wakitoa nyuzi za kukatisha tamaa wasanii wengine wakienda mbali na kuingilia maisha yao binafsi na kuyakejeli..
Yaani ukiingia jukwaa hili ni wao wanataka umtaje na kumsifia msanii mmoja tu yaani diamond platinumz.
Kwa mtindo huu tutasogeza mziki wetu mbele vipi?
Maana hata diamond mwenyewe anajitahid kuusogeza muziki mbele.
Ila chawa wake ndo mnamuangusha..
Badilikeni tuongelee muziki wa wasanii na sio kupambanisha wasanii..