Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Hujaelewa na labda tu niambie hiyo team yangu unayosema ni IPI?
Ungejua kazi yangu wala usingeniletea uchawa hapa ..

Mbona sasa wewe huwa unataka mawazo yako yafanane na kila mtu? Mtu akipinga unasema chuki..

Badilika dogo kuna maisha baada ya uchawa
Nilichogundua kutoka kwako wewe una chuki binafsi na Diamond na ndio maana ukitokea mtu yoyote kupost Jambo zuri la huyo msanii wewe unatoa povu alafu unasema hauna team na ndio maana hata hao uliyowalist wanajulikana wapo wapi? Ila umeshindwa kumtaja Numbisa
 
Sijawahi kufanya huo ujinga wa kuwa na team ..
Mbona mwenye media yetu huwa napiha ngoma za aina zote?

Hii ni kuonesha nasapoti kadri ya uwezo wangu ..
Natoa sifa na ushauri panapostahili .
Huwa namjibu mtu kutokana na anavyokuja
Nimejaribu kufuatilia baadhi ya comment zako mkuu nimejiridhisha kuwa na wewe ni kama hao ulio wataja hapo juu.Huna usawa hata kidogo
 
Ignore list yako imejaa mkuu??? kwa nini usiwatie humo hao watu uache kutaabika???
Even though,hata wewe mwenyewe chawa mkuu, mbona hujawataja akina mkaruka,numbisa,play boy,n.k???
Hao utaweza kunambia ni team IPI?
Halafu wewe dogo kuwa chawa unadhani kila mtu ni chawa kama wewe.
 
Nimejaribu kufuatilia baadhi ya comment zako mkuu nimejiridhisha kuwa na wewe ni kama hao ulio wataja hapo juu.Huna usawa hata kidogo
Weka hapa bro huo ushahidi
Tatizo wageni bado hamjatujua vizuri
Wanaonijua wanajua nawekaga masihara ila yanaonekana kama ukweli
 
Nilichogundua kutoka kwako wewe una chuki binafsi na Diamond na ndio maana ukitokea mtu yoyote kupost Jambo zuri la huyo msanii wewe unatoa povu alafu unasema hauna team na ndio maana hata hao uliyowalist wanajulikana wapo wapi? Ila umeshindwa kumtaja Numbisa
Kumbe hujajua?
Numbisa yeye huwa anajifurahisha tu hayupo serious kama mnavyodhani sisi tunamjua vizuri..

Kiufupi dogo langu Mimi nakwambia badilika tukisema ukweli mnakuja juu kusema ndo haya tunayoyasema ..
Nadhanj hata joseph1989 yule jamaa tunafanana interest huwa anasema ukweli panapohitajika ..ila wewe kwa kuwa unalipwa na wasafi basi unageuza mwenzio makaburi ya kuzika..

Badilika dogo na uache kugeuza wenzio misukule
 
Hao utaweza kunambia ni team IPI?
Halafu wewe dogo kuwa chawa unadhani kila mtu ni chawa kama wewe.
wewe upo hapa kila siku unajifanya huwajui akina mkaruka, Playboy, numbisa,n.k acha unafiki wewe. We unachuki na Diamond na unajulikana.
 
Oyaaaa chawa niliowasema wamekujaa yaani wamehamia hapa kila mtu wanasema ana chuki na wcb everybody...!

Chawa mko kazini..
 
wewe upo hapa kila siku unajifanya huwajui akina mkaruka, Playboy, numbisa,n.k acha unafiki wewe. We unachuki na Diamond na unajulikana.
Playboi umemuona lini.
Tatizo humjui numbisa yule mwenzenu anachukulia funny tu hapa na wala sio hater kama.mnavyodhani...

Kuhusu mkaruka huwa mnapishana mawazo na kama kawaida yenu mtu akiwa challenge mnamuita ana chuki hahahahahah
Badilika dogo
 
Onesha post ya mkaruka akimpongeza Diamond au WCB hapa.
Onesha post ya numbisa aliipongeza wcb au Diamond,acha unafiki bwana.
 
Onesha post ya mkaruka akimpongeza Diamond au WCB hapa.
Onesha post ya numbisa aliipongeza wcb au Diamond,acha unafiki bwana.
Ina maana bado hujaelewa? Numbisa hayuoo serious anawazngua tu na nyie mnatokwa na mapovu na hasira juu na kujaza watu chuki ..
Njoo hapa nikupe external yangu uone nilivyojaza ngoma za wasafi na huwa nazipiga sijui utasemaje

Mkaruka huwa mnapishana mawazo tatizo ana lugha Kali lakinj nyie mnampachika moja kwa moja ni hater
 
Mwanzo jukwaa hili lilikuwa lina vitu vitamu vinavyohusu ma celebrity wetu na muziki wao kiujumla huku wanajamvi wakigusia pande zote kuhusu muziki wetu na lilinoga sana.

Ila majuzi hapa jamvini wamekuja chawa rundo humu ndani na kuharibu jukwaa kwa nyuzi za kichawa chawa ,ushabiki maandazi huku wakigeuza jukwaa kuwa Instagram ya umbea umbea.
Na uteam bila wao kulipwa hata mia ...!

Wakitoa nyuzi za kukatisha tamaa wasanii wengine wakienda mbali na kuingilia maisha yao binafsi na kuyakejeli..
Yaani ukiingia jukwaa hili ni wao wanataka umtaje na kumsifia msanii mmoja tu yaani diamond platinumz.

Kwa mtindo huu tutasogeza mziki wetu mbele vipi?
Maana hata diamond mwenyewe anajitahid kuusogeza muziki mbele.
Ila chawa wake ndo mnamuangusha..

Badilikeni tuongelee muziki wa wasanii na sio kupambanisha wasanii..
Diamond na Ali Kiba wote ni mediocres tu
 
Back
Top Bottom