Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #61
Tarehe 28 mwezi wa kumi sio mbalj mkuuTuzo napewa lini kiongozi ?
Hujaelewa tatizo na ndo maana unakurupuka kuita mtu mwizi wakati wewe ndo mwizi..Mbona hata chawa wa MBUZI uko kazini ingekuwa njema sana kama usingeegemea upande mmoja lakini kumbe na wewe chawa wa MBUZI tu
Naww umebase upande mmoja pia kuna machawa wa alikiba na harmonize Kama huyu robidinyoMwanzo jukwaa hili lilikuwa lina vitu vitamu vinavyohusu ma celebrity wetu na muziki wao kiujumla huku wanajamvi wakigusia pande zote kuhusu muziki wetu na lilinoga sana.
Ila majuzi hapa jamvini wamekuja chawa rundo humu ndani na kuharibu jukwaa kwa nyuzi za kichawa chawa ,ushabiki maandazi huku wakigeuza jukwaa kuwa Instagram ya umbea umbea.
Na uteam bila wao kulipwa hata mia ...!
Wakitoa nyuzi za kukatisha tamaa wasanii wengine wakienda mbali na kuingilia maisha yao binafsi na kuyakejeli..
Yaani ukiingia jukwaa hili ni wao wanataka umtaje na kumsifia msanii mmoja tu yaani diamond platinumz.
Kwa mtindo huu tutasogeza mziki wetu mbele vipi?
Maana hata diamond mwenyewe anajitahid kuusogeza muziki mbele.
Ila chawa wake ndo mnamuangusha..
Badilikeni tuongelee muziki wa wasanii na sio kupambanisha wasanii..
Kabisa Kuna wa2 Kila ki2 kuhusu msanii fulan wao wanaweka negativities kwasababu tu hawamkubali mwisho wa siku Kila m2 na mapenzi yaleIgnore list yako imejaa mkuu??? kwa nini usiwatie humo hao watu uache kutaabika???
Even though,hata wewe mwenyewe chawa mkuu, mbona hujawataja akina mkaruka,numbisa,play boy,n.k???
Kujifurahisha kwa kutetea upande mmoja[emoji1787][emoji1787] acha kutuchotaKumbe hujajua?
Numbisa yeye huwa anajifurahisha tu hayupo serious kama mnavyodhani sisi tunamjua vizuri..
Kiufupi dogo langu Mimi nakwambia badilika tukisema ukweli mnakuja juu kusema ndo haya tunayoyasema ..
Nadhanj hata joseph1989 yule jamaa tunafanana interest huwa anasema ukweli panapohitajika ..ila wewe kwa kuwa unalipwa na wasafi basi unageuza mwenzio makaburi ya kuzika..
Badilika dogo na uache kugeuza wenzio misukule
Wewe nimekufuatilia comment zako kitambo tu.Kumbe ndo unajua Leo mkuu Huyo wali kitambo
Ah kumbe nami nimetajwa, halafu basi utakuwa unasoma comment moja moja, mimi niko neutral hata sina kundi uwa nasema kile ninachojisikia na kuona.Nisiwe mnafiki ..
Robidinyo
innocent dependent
Kigoma dependent ndo huyo huyo inno
King Mufasa
Nyie mnarudisha muziki nyuma badala ya kuupeleka mbele mnauwa game na kuupa upande mmoja
Halafu kuna
Nafaka
dudu jeupe
Wewe nimekufuatilia comment zako kitambo tu.
We ni bonge la chawa sijui Diamond alikufanyia nini??? Umekosa hoja unabaki kusapoti comment za kipuuzi ndio maana hata uzi wako hauna support kwa sababu upo biased kama ilivyo kawaida yako.
Cha msingi edit upya uzi wako na u balance tofauti na hapo utakuwa bonge la mnafiki kama ilivyo kawaida yako.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Wacha nikae kimya.
kumbe hawa jamaa ndo wanao rudisha nyuma muziki wetu faaakei kabisa hawaNisiwe mnafiki ..
Robidinyo
innocent dependent
Kigoma dependent ndo huyo huyo inno
King Mufasa
Nyie mnarudisha muziki nyuma badala ya kuupeleka mbele mnauwa game na kuupa upande mmoja
Halafu kuna
Nafaka
dudu jeupe
Hizo ni kengekumbe hawa jamaa ndo wanao rudisha nyuma muziki wetu faaakei kabisa hawa
mkuu wewe hauna team kati ya hizo mbili?Hizo ni kenge
Kuna mtu dawa imeingia kwelikweli. Acha kulialia dawa iingie vizuri. Baadae tutaongeza dozi upone huo ugonjwa wako wa chuki kwa watu hata usiowafahamu.
Alafu kama unataka tuanze kukupromote na wewe useme tu hatuna kinyongo tutaifanya kazi hiyo kwa juhudi ileile.
WCB 4 LIFE.
#Kwa roho mbaya zenu itawachoma sana.
Daima siwezi Fanya huo ujinga huwa tu natumbua majipu panapostahilimkuu wewe hauna team kati ya hizo mbili?
Media 😳😳, Yani hicho kichwa kinaplay part kwenye media fulani🤔?Aiseeeh😂😂Sijawahi kufanya huo ujinga wa kuwa na team. Mbona mwenye media yetu huwa napiha ngoma za aina zote?
Hii ni kuonesha nasapoti kadri ya uwezo wangu
Natoa sifa na ushauri panapostahili
Huwa namjibu mtu kutokana na anavyokuja
😂😂😂 Mkuu.Wewe upo media gani?
Bro kumbe bado tu Yale ya siku ile yalikuchomaa hahahaMedia 😳😳, Yani hicho kichwa kinaplay part kwenye media fulani🤔?Aiseeeh😂😂
😂😂😂 Mkuu.