Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Jukwaa la Celebrity kwa sasa limevurugwa na watu hawa

Mbona hata chawa wa MBUZI uko kazini ingekuwa njema sana kama usingeegemea upande mmoja lakini kumbe na wewe chawa wa MBUZI tu
Hujaelewa tatizo na ndo maana unakurupuka kuita mtu mwizi wakati wewe ndo mwizi..

Mimi kukuita chawa haimaniishi kuwa nami ni chawa kwanza huo muda sina wa kulamba watu miguu ili nile..

Nafanya kazi halali bro badilika
Halafu mbuzi ndo nan
 
Mwanzo jukwaa hili lilikuwa lina vitu vitamu vinavyohusu ma celebrity wetu na muziki wao kiujumla huku wanajamvi wakigusia pande zote kuhusu muziki wetu na lilinoga sana.

Ila majuzi hapa jamvini wamekuja chawa rundo humu ndani na kuharibu jukwaa kwa nyuzi za kichawa chawa ,ushabiki maandazi huku wakigeuza jukwaa kuwa Instagram ya umbea umbea.
Na uteam bila wao kulipwa hata mia ...!

Wakitoa nyuzi za kukatisha tamaa wasanii wengine wakienda mbali na kuingilia maisha yao binafsi na kuyakejeli..
Yaani ukiingia jukwaa hili ni wao wanataka umtaje na kumsifia msanii mmoja tu yaani diamond platinumz.

Kwa mtindo huu tutasogeza mziki wetu mbele vipi?
Maana hata diamond mwenyewe anajitahid kuusogeza muziki mbele.
Ila chawa wake ndo mnamuangusha..

Badilikeni tuongelee muziki wa wasanii na sio kupambanisha wasanii..
Naww umebase upande mmoja pia kuna machawa wa alikiba na harmonize Kama huyu robidinyo
 
Ignore list yako imejaa mkuu??? kwa nini usiwatie humo hao watu uache kutaabika???
Even though,hata wewe mwenyewe chawa mkuu, mbona hujawataja akina mkaruka,numbisa,play boy,n.k???
Kabisa Kuna wa2 Kila ki2 kuhusu msanii fulan wao wanaweka negativities kwasababu tu hawamkubali mwisho wa siku Kila m2 na mapenzi yale
 
Kumbe hujajua?
Numbisa yeye huwa anajifurahisha tu hayupo serious kama mnavyodhani sisi tunamjua vizuri..

Kiufupi dogo langu Mimi nakwambia badilika tukisema ukweli mnakuja juu kusema ndo haya tunayoyasema ..
Nadhanj hata joseph1989 yule jamaa tunafanana interest huwa anasema ukweli panapohitajika ..ila wewe kwa kuwa unalipwa na wasafi basi unageuza mwenzio makaburi ya kuzika..

Badilika dogo na uache kugeuza wenzio misukule
Kujifurahisha kwa kutetea upande mmoja[emoji1787][emoji1787] acha kutuchota
 
Yaani chawa kutokana usafini mmetia team basi mnajazana upepo ili kujifariji.

Mnadhani kila mtu ni chawa kama nyie?
Fanyenj kazi bhna mtakosa hela ya kula mjue .
Pia mwenye shida aje nimpe hela maana chawa mpka mlambe miguu mabosi zenu ndo mpate kula...hahahahahah.

Mtu mzima Mimi eti niwe sijui team nini duh labda over my dead body
 
Kumbe ndo unajua Leo mkuu Huyo wali kitambo
Wewe nimekufuatilia comment zako kitambo tu.
We ni bonge la chawa sijui Diamond alikufanyia nini??? Umekosa hoja unabaki kusapoti comment za kipuuzi ndio maana hata uzi wako hauna support kwa sababu upo biased kama ilivyo kawaida yako.
Cha msingi edit upya uzi wako na u balance tofauti na hapo utakuwa bonge la mnafiki kama ilivyo kawaida yako.
 
Nisiwe mnafiki ..
Robidinyo
innocent dependent
Kigoma dependent ndo huyo huyo inno
King Mufasa
Nyie mnarudisha muziki nyuma badala ya kuupeleka mbele mnauwa game na kuupa upande mmoja

Halafu kuna
Nafaka
dudu jeupe
Ah kumbe nami nimetajwa, halafu basi utakuwa unasoma comment moja moja, mimi niko neutral hata sina kundi uwa nasema kile ninachojisikia na kuona.
Wakati harmonize anaondoka WCB nilimfagilia sana kwa kuamua kumove on, na nilikuwa nabishana na watu daily waliokuwa wanaona kama kafanya usaliti kuondoka. Nilianza kuwa na mashaka naye tu kutokana na hali ilivyo na wala si kwamba nina uteam.
Alikiba huyu mpya sijawahi kumueewa sana ila kuna baadhi ya nyimbo zake nilizowahi kuzielewa toaka amerudi kama chekecha, aje, mshumaa,
Diamond, sikuwahi kuwa fan wake wakati anatoka na ilipotoka kaniambie ilipishana kidogo na sumu ya penzi, na mimi nilikuwa nawambia watu huyu jamaa hafiki mbali maana Belle 9 ndiye nilikuwa namuona mbali sema neno langu siyo sheria jamaa akatoboa sana.
Nilianza kumwelewa zaidi alipota moyo wangu, mawazo na zaidi kabisa alipotoa ukimuona. Diamond siyo kwamba napenda mziki wake kihivyo, ila napenda hustles zake na uthubutu na akili zake za kujua wapi pesa ilipo na nini afanye.
Ukinifuatilia utashangaa leo namsifu huyu, kesho ninamponda, kesho kutwa namsifu huyu.
Ndiyo maana sijawahi kusifia hata wimbo mmoja wa zuchu, sababu simkubari, ila wamemfanyia branding, na watu wamempokea na anafanya vizuri, huo ndiyo ukweli. Mimi simkubari hata wimbo wake aliutoa na diamond sijausikiliza kabisa. Na pia labda nikwambie hata uwa sisikiliza Wasafi fm, mimi mnazi wa clouds, XXL na akina gardner. Kasoro TV ndo wanaiferisha japokuwa hata TV napenda sana vipindi vya nje na uwa sitazami sana TV.
Hivyo basi Mr. Pancho mimi niko neutral sina team ila uwa nacomment uhalisia wa vile ninavyoona mambo, na muda mwingine ninaweza nisiwe sawa.
 
Wewe nimekufuatilia comment zako kitambo tu.
We ni bonge la chawa sijui Diamond alikufanyia nini??? Umekosa hoja unabaki kusapoti comment za kipuuzi ndio maana hata uzi wako hauna support kwa sababu upo biased kama ilivyo kawaida yako.
Cha msingi edit upya uzi wako na u balance tofauti na hapo utakuwa bonge la mnafiki kama ilivyo kawaida yako.
IMG_20200917_125246.jpg
 
Mimi napendekeza kuwekwe jukwaa dogo (sub_forum) ndani ya hili jukwaa ambalo ni maalum kwa hawa matembo wetu wa muziki (King Kiba, Platinumz Simba) na Harmonize King Tembo. Humo ndio vita yote ifanyikie. Ukiona unakereka usifungue.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]daimond utamtaka hata umchukie vip utanyosha mikono juu mwenyewe wameshindwa clouds mastermind wa fitina ndo iwe mtu mmoja haiwezekan

Kuna mtu dawa imeingia kwelikweli. Acha kulialia dawa iingie vizuri. Baadae tutaongeza dozi upone huo ugonjwa wako wa chuki kwa watu hata usiowafahamu.

Alafu kama unataka tuanze kukupromote na wewe useme tu hatuna kinyongo tutaifanya kazi hiyo kwa juhudi ileile.

WCB 4 LIFE.
#Kwa roho mbaya zenu itawachoma sana.
 
Me nimetokea kumshabikia Diamond sababu ya “hustle” zake japo muda mwingine huwa anakosea lakini hainifanyi nisisikilize nyimbo za Harmonize au Ali Kiba hivyo ni ngumu sana kuona mtu wa hivyo anatokwa mapovu. Halafu kingine humu hatujuani unaweza kuwaona wenzio hawana shughuli za kufanya wewe ndio unazo. Je unashabikia na mpira wewe? Haujawahi kurusha ngumi kweli?
 
Sijawahi kufanya huo ujinga wa kuwa na team. Mbona mwenye media yetu huwa napiha ngoma za aina zote?

Hii ni kuonesha nasapoti kadri ya uwezo wangu

Natoa sifa na ushauri panapostahili

Huwa namjibu mtu kutokana na anavyokuja
Media 😳😳, Yani hicho kichwa kinaplay part kwenye media fulani🤔?Aiseeeh😂😂
Wewe upo media gani?
😂😂😂 Mkuu.
 
Media 😳😳, Yani hicho kichwa kinaplay part kwenye media fulani🤔?Aiseeeh😂😂

😂😂😂 Mkuu.
Bro kumbe bado tu Yale ya siku ile yalikuchomaa hahaha
Hizi ni I'd tu hapa zinaficha mengi sana.
Haya sio maisha yangu maana naona unaanza kugusa maisha yangu binafsi
Mbona Mimi sijakugsa yako?

Yaani kumbe bado una makasiriko na Mimi
Hahhahah watu tuna familia kabisa ila hapa tuna act tu kazi yangu ndo hiyo na inanilipa am smart enough ndo maana wameniamini
 
Back
Top Bottom